PICHA ZA MKUTANO WA BODI YA CHAPO NA WANACHAMA WAO
MKURUGENZI wa Jumuiya ya wasaidizi wa sheria wilaya ya Chake chake Pemba, CHAPO Mohamed Hassan Abdallah, akizungumza na wajumbe wa Bodi ya wadhamini wa CHAPO na wanachama wao, katika mkutano wa dharura uliofanyika ofisini hapo Januari 25, 2025.
WA Kwanza kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya wadhamini wa CHAPO Zuwena Hamad Ali, akimsikiliza Mkurugenzi wa CHAPO kwenye kikao hicho
MWENYEKITI wa Bodi ya Wadhamini wa CHAPO Safia Saleh Sultan, akimsikiliza Mwanachama wa CHAPO Wahida Kombo Khamis, kwenye kikao hicho.






Comments
Post a Comment