'CHAPO' KUSOMA DUA MAALUM

 


 

TAANGAZO LA DUA YA MAREHEMU NASSOR BILALI ALI- ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JUMUIA YA WASAIDIZI WA SHERIA WILAYA YA CHAKE CHAKE  PEMBA.

@@@@

WATU wote na taasisi, wanaalikwa kuhudhuria dua, ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Jumuiya ya Wasaidizi wa Sheria wilaya ya Chake chake Pemba ‘CHAPO’ Nassor Bilali Ali.



Dua hiyo, inatarajiwa kufanyika Ukumbi wa Manispaa ya jiji la Chake chake, ndani ya ukumbi mkubwa.

Siku ya Dua hiyo ni Jumamosi ya terehe 17/08/2024

Muda wa kuanza kwa Dua hiyo ni saa 3:00 asubuhi.

Kuhudhuria kwako ni muhimu, katika kufanikisha dua hiyo.

                      ………..Wabillah Tawfiq…assalaam Alyek…..



Tangaazo hili:

Limetolewa na Kitengo cha Habari, Mawasiliano na Uratibu

CHAPO – Chake chake Pemba.

      +255778921827 Au +255777042182

Comments

Popular posts from this blog

AFISI YA MWANASHERIA MKUU ZANZIBAR YAKUSANYA MAONI SHERIA YA MSAADA WA KISHERIA

MKURUGENZI HANIFA, AWAUMA SIKIO WANANCHI WAWI HAKI ZA BINAADAMU

‘WANANCHI HAWANA MAMLAKA YA KUONDOSHA UHAI WA MTU’